Msaada wa Vitakasa Mikono

Msaada wa Vitakasa Mikono

Chuo cha Afya NOBO kilichopo Dar es Salaam, ambacho pia niwatengenezaji wa bidhaa za chemikali wamechangia sanitizer katika kushiriki mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid-19.

Vitakasa mikono hivyo baadae vitasambazwa kwa makundi yenye uhitaji ikiwemo maeneo ya kutolea huduma za afya